Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Busia wahimizwa kuhifadhi maji ya mvua

  • | Citizen TV
    385 views
    Duration: 4:12
    Wakazi pamoja na wakuu wa taasisi za elimu katika eneo la Akobwait lililoko katika eneo bunge la Teso Kusini kaunti ya Busia wamehimizwa kuwekeza katika miundomsingi ya kuhifadhi maji ya mvua ili kukabiliana na changamoto iliyokithiri ya uhaba wa maji.