14 Sep 2026 10:36 am | Citizen TV 302 views Duration: 2:06 Wakazi wa Moyale wamepata huduma za bure za matibabu ya macho. Wananchi wamepimwa dalili mbalimbali, kupewa matibabu na kushauriwa kuhusu namna ya kutunza afya ya macho.