Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Mwembekati Kilifi walalamikia ukosefu wa huduma za serikali baada ya ofisi kuhamishwa Kizingo

  • | Citizen TV
    707 views
    Duration: 2:07
    Wakazi wa Mwembekati,eneo bunge la Kilifi Kusini kaunti ya Kilifi wanalamikia ukosefu wa huduma za serikali baada ya ofisi za serikali kuhamishwa kutoka eneo hilo hadi Kizingo.