11 Aug 2026 10:17 am | Citizen TV 723 views Duration: 1:57 Wakazi wa Cheborge katika eneobunge la Bureti, Kaunti ya Kericho, wakashifu vikali mgomo wa madaktari na wahudumu wengine wa afya, udaiwao kusababisha kufungwa kwa huduma katika Cheborge Health Centre.