21 Oct 2026 1:37 pm | Citizen TV 874 views Duration: 2:33 Wakazi wa Faza kaunti ya Lamu, wameandamana kwa amani wakitaka kampuni ya kenya power irejeshe umeme baada ya kukosa huduma kwa zaidi ya siku saba.