21 Oct 2026 8:03 pm | Citizen TV 824 views Duration: 1:33 Wakazi wa eneo la Karicheni huko Kieni kaunti ya Nyeri, wamewaonya wanasiasa dhidi ya kuvuruga shughuli za maendeleo, wakisema uhasama wa kisiasa kwenye hafla hizo unawanyima nafasi ya kuwaskiza wawekezaji.