- 544 viewsDuration: 3:15Wakazi wa Kibera waliandaa sherehe ya kuwashabikia maafisa wa polisi wa eneo hilo pamoja na wanachama wa usalama wa jamii, kufuatia kile wanasema ni kupungua kwa visa vya uhalifu. Tukio hilo lililenga kutambua juhudi zao katika kudumisha amani na usalama katika mtaa huo.