Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Lamu wataka serikali kuondoa kafyu ya usafiri usiku

  • | Citizen TV
    283 views
    Duration: 2:18
    Wakazi wa Lamu waendelea kushinikiza serikali kuu kuondoa kafyu ya safari za usiku kwenye barabara kuu ya Lamu kwenda Witu na Garsen ili waweze kusafiri kwa saa 24 kama sehemu zengine za nchi.