15 Sep 2026 10:39 am | Citizen TV 277 views Duration: 1:38 Baadhi ya wakazi wa Lavington wamelalamikia kelele kutoka baa na maeneo ya burudani, wakisema hali hiyo inawakosesha amani na kuwazuia kupata usingizi.