Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Malindi wahimizwa kutumia vyoo

  • | Citizen TV
    913 views
    Duration: 1:37
    Wakazi wa Malindi wamehimizwa kutumia vyoo badala ya kujisaidia vichakani. Kampeni hiyo inalenga kuimarisha usafi na kuboresha afya ya jamii.