Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Matasia kaunti ya Kajiado walalamikia gharama ya juu ya maisha

  • | Citizen TV
    449 views
    Duration: 1:22
    Gharama ya juu ya maisha inaendelea kuwaumiza wakazi wa Matasia, katika wadi ya Olkeri, kaunti ya Kajiado, huku wazee, wajane na walemavu wakikabiliwa na changamoto ya kupata mahitaji ya kila siku.