- 412 viewsDuration: 3:16Takriban mwaka mmoja baada ya wakazi elfu tatu wa Mkocheni eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta kubomolewa nyumba zao kufuatia mzozo wa ardhi, wakazi hao wameeendelea kulalamikia changamoto. Katika kijiji hicho familia zaidi ya 20 zikilazimika kuishi kwa pamoja huku wanaume wakilala ndani ya hema kwa miezi tisa sasa.