Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mukuru Kwa Njenga wakabiliana na polisi wakati wa ubomoaji wa makazi yao

  • | KBC Video
    161 views
    Duration: 1:59
    Wakazi wa kitongoji duni cha Mukuru Kwa Njenga katika kaunti ya Nairobi hivi leo walikabiliana na maafisa wa polisi wakati wa shughuli ya ubomoaji wa makazi yao katika kile kinachodaiwa kuwa kupisha ujenzi wa barabara. Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja alilazimika kuingilia kati na kusitisha ubomoaji huo, akitaja hatua hiyo kuwa kinyume cha sheria na kuahidi fidia kwa familia zilizoathiriwa. Makundi ya kutetea haki za kibinadamu pia yameshutumu ubomozi huo, na kuwashutumu maafisa wa polisi kwa kukiuka agizo la mahakama lililosimamisha shughuli hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive