11 Aug 2026 1:55 pm | Citizen TV 243 views Duration: 2:10 Wakazi wa eneo la Naserian, huko Magadi Kajiado Magharibi wameendelea kulalamikia ukosefu wa maji, wakisema wamekuwa wakitegemea misaada ya maji kwa muda mrefu.