- 237 viewsDuration: 2:26Katibu wa wizara ya Mawasiliano Stephen Isaboke aliongoza maelfu ya wenyeji kutoka maeneo mbalimbali kusherehekea siku ya matibabu ya bure hususan baada ya serikali kufungulia hospitali ya Nyanchwa mitambo ya Bima Ya Sha kwa wenyeji ambao wamekuwa wakitaabika.