23 Oct 2026 10:09 am | Citizen TV 350 views Duration: 1:18 Wakazi wanaoishi maeneo ya ardhi oevu ya Yala katika kaunti ya Siaya wametoa wito kwa Rais William Ruto kutatua mzozo wa muda mrefu kuhusu umiliki wa ardhi katika eneo hilo.