- 1,873 viewsDuration: 3:41Wakazi wanaoishi karibu na Mbuga ya Tsavo an Chyulu kaunti ya Kajiado wapinga hatua ya Shirika la huduma kwa Wanyamapori kuezeka ua kwenye mbuga hiyo kwa nia ya kuzuia Migogoro baina ya wakazi na wanyapori.Wakizungumza baada ya Mkutano baina yao na KWS kukosa kufanyika katika eneo la Iltilal Kajiado kusini, wakazi hao wasema wanyama wa pori wengi wanaishi kwenye mashamba yao, na iwapo ua hilo litaezekwa wanyama hao watafungiwa nje ya Mbuga na kuendelea kusabisha uharibifu.