Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wataka ofisi ya Masoroveya kufunguliwa Bungoma

  • | Citizen TV
    105 views
    Duration: 1:07
    Baadhi ya wakazi katika kaunti ya bungoma wameipa serikali makataa ya siku tatu kuhakikisha ofisi ya masoroveya mjini humo imefunguliwa mara moja ili kutoa huduma kwa umma. Wakizungumza baada ya maandamano ya kupinga uhamisho wa afisa mkuu wa masoroveya mjini humo,wakaazi hao wanadai uhamisho huo umesitisha huduma muhimu za usoroveya kwa kuwa afisa aliyeletwa kutokea kaunti ya busia hajakubalika kutokana na madai ya ufisadi dhidi yake.