Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wahimizwa kugeukia miti inayoweza kuwapatia kipato

  • | KBC Video
    340 views
    Duration: 1:22
    Taasisi ya utafiti wa misitu humu nchini -KEFRI inawahimiza wakulima kupanda miti ya mpingo na msandali ili kuhifadhi spishi hizo zilizo katika hatari ya kuangamia mbali na kuitumia kama kitega uchumi kutokana na thamani yake ya kibiashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive