Skip to main content
Skip to main content

Wakenya watakiwa kuwekeza kwenye sekta ya elimu shule za msingi ili kufanikisha mtaala wa CBE

  • | Citizen TV
    200 views
    Duration: 1:37
    Kama njia ya kulisaidia taifa kuafikia malengo ya ramani yake mpya, wakenya watakiwa kuwekeza pakubwa kwenye sekta ya elimu na zaidi shule za msingi, inakohitajika miundo msingi ya kufanikisha mtaala wa CBE.