16 Jan 2026 10:23 am | Citizen TV 74 views Duration: 1:43 Huku usajili wa wanafunzi katika gredi ya 10 muhula wa kwanza unapoendelea, ni afueni kwa Michael Tinkoi mwanafunzi wenye ulemavu na Janet Trissiah waliopata alama za 54 na 47 mtawalia.