22 Oct 2026 10:31 am | Citizen TV 504 views Duration: 1:49 Huku Wakenya wakifurika katika viwanja tofauti kusherehekea siku ya mashujaa Dei, wakazi wa eneo la Manga Isecha Kitutu Masaba hususan wakongwe walijitokeza kupewa matibabu ya bure.