- 1,324 viewsDuration: 2:15Wataalamu wa maswala ya kilimo kutoka Bonde la Ufa wamehamasisha baadhi ya wakulima katika Kaunti ya Narok kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo ili kuimarisha mavuno, kwa kujitayarisha kwa mvua ya El Nino inayotarajiwa.