23 Oct 2026 1:19 pm | Citizen TV 332 views Duration: 1:45 Muungano wa walimu wa chekechea tawi la Nyamira na serikali ya kaunti hiyo wametia sahihi mkataba wa makubaliano, kutoa fursa ya mazungumzo ili kusitisha mgomo wa walimu hao unaoendelea.