Skip to main content
Skip to main content

Walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi watakiwa kuwekeza kwa hazina ya kustaafu

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 2:08
    Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi umewataka walimu kuweka akiba ili kujisaidia baada ya kustaafu.