- 31,958 viewsDuration: 1:37Walinzi wa gavana wa trans nzoia George Natembeya waliondolewa . kulingana na waziri wa usalam Kipchumba Murkomen , polisi hao wanatuhumiwa kushirikiana na wahuni na iwapo watapatikana na hatia watafutwa kazi.Hatua hii imechukuliwa siku tatu baada ya msafara wa gavana Natembeya kuvamiwa na wahuni katika wadi ya Chwele Kabuchai kaunti ya Bungoma.