- 269 viewsDuration: 4:26Ni nafuu Kwa wazazi wa zaidi ya wanafunzi 700 wale wanaojiunga na shule za Sekondari ya Juu kupata ufadhili wa masomo kupitia hazina ya fedha za usitawishaji maeneo bunge NG - CDF ya Nakuru Magharibi, wanafunzi hao kutoka shule za bweni kote nchini wakipewa asilimia Mia moja ya ufadhili wa Karo ya muhula wa Kwanza