Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi Mavoko wapata madarasa mapya

  • | KBC Video
    168 views
    Duration: 2:14
    Wanafunzi wa elimu ya umilisi huko Mavoko, kaunti ya Machakos, watanufaika na majengo bora ya masomo kufuatia ujenzi wa madarasa mapya unaolenga kubuni mazingira mwafaka ya kujifunzia. Shirika la makazi ya binadamu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya machakos, limejenga madarasa hayo kwa gharama nafuu ili kukabiliana na msongamano ambao umekuwa ukitatiza masomo, ikiwemo katika Shule ya Kalima Kathei iliyoko eneo la Makutano. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive