5 Jun 2026 1:12 pm | Citizen TV 12,984 views Duration: 1:55 Manusura wanne wa moto Katika shule ya wasichana ya Utumishi Gilgil kaunti ya Nakuru waruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kupokea matibabu Kwa wiki moja Katika hospitali ya Kenyatta jijini Nairobi.