Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi waandamana

  • | KBC Video
    812 views
    Duration: 1:43
    Maafisa wa polisi kutoka kituo cha Central jijini Nairobi walitumia vitoa machozi kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi waliokuwa wakiandamana kulalamikia kucheleweshwa kwa matokeo ya mtihani wa mwezi Aprili mwaka huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive