- 133 viewsDuration: 1:47Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wametoa makataa ya saa 72 kwa serikali kusuluhisha mgomo unaoendelea wa wahadhiri la sivyo watazua maandamano. Viongozi wa chama cha wanafunzi hao wakiongozwa naAhmed Rashid wanateta kuwa mgomo huo umewafanya kupoteza muda wa masomo mbali na kuchelewesha mahafali, hali ambayo inawafanya kugharamika zaidi. Wahadhiri wa vyuo vikuu wamekuwa wakigoma tangu tarehe 2 mwezi huu wakitaka serikali kutekeleza kikamilifu mkataba wa maelewano wa mwaka 2025-2029. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive