21 Oct 2026 7:29 pm | Citizen TV 7,956 views Duration: 3:39 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi waliandamana wakimtaka Waziri wa Elimu, Migos Ogamba, ajiuzulu kwa kile walichokitaja kuwa kushindwa kutatua mgomo wa wahadhiri.