- 942 viewsDuration: 1:28Wazazi wamehimizwa kukumbatia elimu ya kiteknolojia ili kuwawezesha watoto wao kukuza talanta na ubunifu wao. Katibu katika idara ya masuala ya vijana na uchumi bunifu Fikirini Jacobs aliyezungumza katika kaunti ya Kilifi wakati wa uzinduzi wa mafunzo kuhusu matumizi ya mbao za kidijitali alisema matumizi ya vifaa hivyo katika shule za sekondari ya msingi yataboresha matokeo na kuwapa wanafunzi ujuzi muhimu wa kidijitali. Mpango huo pia unalenga kushughulikia tatizo la uhaba wa walimu na kuimarisha ujuzi wa walimu wa kidijitali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive