22 Oct 2026 1:31 pm | Citizen TV 1,569 views Duration: 1:21 Wanafunzi zaidi ya 11, 000 kutoka Mwingi magharibi walizawadiwa viatu na wakfu wa Jonathan Ngenga ikiwa ni mojawapo wa malengo ya shirika hilo ya kuisaidia jamii.