23 Oct 2026 10:23 am | Citizen TV 1,099 views Duration: 1:33 Wanafunzi zaidi ya mia tano wa gredi ya sita na tisa katika maeneo bunge ya Butere na Mumias magharibi kaunti ya Kakamega wamenufaika na vifaa vya kufanyia mitihani ya kitaifa.