Skip to main content
Skip to main content

Wanafuzni wa zamani wataka mwalimu mkuu wa Lodwar Boys’ aondolewe

  • | Citizen TV
    1,048 views
    Duration: 2:21
    Wanafunzi wa Zamani wa shule ya kitaifa ya wavulana ya Lodwar High wameitaka Wizara ya Elimu kumwondoa mara moja mwalimu mkuu na bodi ya usimamizi ya shule hiyo, wakisema wamechangia matokeo duni ya KCSE yaliyotangazwa majuzi Hii ni baada ya wanafunzi wengi wa shule hiyo kuandikisha alama ya D licha ya shule hiyo kuwa ya kitaifa. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Daktari Robert Eloto Abok,wanasema ni aibu kuona kuwa wanafunzi 74 kupata alama ya D na hakuna alama ya A shuleni humo.