Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati Lamu waitaka serikali kuweka wazi taarifa zote za kiwanda cha Dangote

  • | KBC Video
    162 views
    Duration: 1:26
    Watetezi wa mazingira katika kaunti ya Lamu wanaitaka serikali kuweka wazi taarifa zote kuhusiana na kiwanda cha usafishaji mafuta cha Dangote kinachojengwa katika eneo hilo. Wanasema kuwa licha ya kuanza miezi kadhaa iliyopita, wakazi hawana ufahamu wa yanayoendelea na jinsi kiwanda hicho kitakavyoathiri maisha yao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive