- 202 viewsDuration: 1:51Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mazingira duniani serikali ya kaunti ya Mombasa, wakazi pamoja na wanamazingira wakongamana kuadhimisha siku hiyo kwa kupanda miti zaidi ya 1,500 katika barabara zote kuu ziingiazo kisiwani Mombasa.