17 Dec 2025 10:35 am | Citizen TV 710 views Duration: 58s Msaidizi wa rais Farouk Kibet amewaonya watu wanaojaribu kuleta mgogoro katika chama cha UDA , kuwa watafurushwa wote kutoka chama hicho.