Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa, wanaharakati wafurushwa kutoka kituo cha polisi Kakamega

  • | KBC Video
    133 views
    Duration: 2:28
    Polisi katika kituo cha polisi cha Kakamega Central walitumia vitoa machozi kutawanya kundi la wanaharakati, wakili Ken Echesa na naibu kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Cleophas Malala ambao walifika katika kituo hicho kuwasilisha malalamishi. Ghasia hizo zilizuka baada ya wanaharakati na wanasiasa hao kudai kuwa wahuni baadhi ya maafisa wa kaunti wanawatumia wahuni kuwanyanyasa wakazi. Haya yanajiri huku mwanablogu mmoja wa Nairobi akikamatwa jijini Nairobi na kusafirishwa hadi kituo cha polisi cha Kakamega kuhusiana na maneno aliyodaiwa kuchapisha mtandaoni lakini baadaye akaachiliwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive