7 Aug 2026 2:01 pm | Citizen TV 304 views Duration: 2:08 Shirika la wanawake wa jamii ya Endorois lashinikiza ushirikishwaji wa wanawake katika uandaaji wa sera za kilimo ukisema maarifa na uzoefu wao ni muhimu katika kuimarisha mifumo endelevu ya uzalishaji wa chakula.