Skip to main content
Skip to main content

Wandani wa Rais Ruto wawataka Wakenya kufanya uamuzi wa busara

  • | KBC Video
    369 views
    Duration: 4:21
    Mbunge wa Kibwezi Magharibi, Mwengi Mutuse amewadiriki viongozi wa upinzani kuwasilisha kwa wananchi ajenda yao ya maendeleo akisema Wakenya wanahitaji viongozi walio na rekodi ya maendeleo wala sio maneno matupu. Kwingineko, aliyekuwa mbunge wa Kisauni Ali Menza Mbogo anairai jamii ya Taita inayoishi katika kaunti ya Mombasa kujisajili kwa wingi kuwa wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu ujao akisema ushiriki wao utaimarisha ushawishi wa uongozi. Taarifa hizi na nyingine zimo kwenye mkusanyiko wa taarifa za kisiasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive