Skip to main content
Skip to main content

Wanne kushtakiwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la Manzil Towers South C

  • | Citizen TV
    362 views
    Duration: 1:14
    Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma ameidhinisha mashtaka ya mauaji bila kukusudia dhidi ya watu wanne kufuatia kuporomoka kwa jengo la Manzil Towers katika eneo la South C, Nairobi, tarehe 2 Januari mwaka huu.