- 5,531 viewsDuration: 1:25Washukiwa watatu waliokamatwa kuhusiana na mauaji ya Daktari wa akili Victoria Mutisho wamefikishwa mahakamani hii leo. Afisa wa polisi Elijah Kibelion Kimoi pamoja na Daniel Njoroge na Kevin Kinuthia wamefikishwa mbele ya hakimu mkuu wa Milimani Paul Mutai, aliyekubali ombi la kuwazuilia kwa siku 30 zaidi.