Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso kuzuiliwa kwa siku 30 zaidi

  • | Citizen TV
    2,936 views
    Duration: 3:08
    Afisa wa polisi Elijah Kimoi na washukiwa wenzake wa mauaji ya Daktari Victoria Mutiso, Daniel Mwangi na Kevin Kinuthia, watasalia rumande kwa siku 30 zaidi. Watatu hao, waliokamatwa Ijumaa, walifikishwa katika Mahakama ya Milimani ambako mahakama ilielezwa namna walivyohusika katika operesheni nzima ya kumuua daktari huyo. Maafisa wa upelelezi wamesema bado wanawasaka maafisa wawili wa polisi, Inspekta Kenneth Sang na Bett Kiplangat. Gatete Njoroge na taarifa zaidi.