Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wawili kwenye kesi ya ulaghai wa bilioni 3.9 waachiliwa kwa dhamana

  • | KBC Video
    233 views
    Duration: 3:01
    Mahakama ya Milimani hapo kesho itatoa maagizo zaidi kwenye kesi ambapo watu watano wametuhumiwa kwa kujaribu kuilaghai serikali shilingi bilioni 3.9 kupitia madai ya kurejeshewa malipo ya ushuru ziada wa thamani. Wawili kati ya washukiwa hao walikanusha mashtaka walipofikishwa mahakamani leo na wakaachiliwa kwa dhamana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive