10 Aug 2026 1:28 pm | Citizen TV 3,383 views Duration: 1:40 Msimu wa utalii unapozidi kunoga nchini, imekuwa ni furaha kwa watalii wanaofika kuzuru mbuga ya wanyama ya Maasai Mara waliofika kushuhudia kivutio cha uhamisho wa nyumbu.