- 2,660 viewsDuration: 1:17Baadhi ya watetezi wa haki za binadamu nchini wameipa IPOA makataa ya siku saba kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya maafisa wa polisi walomumiza na kukamata mwanahabari wa Royal Memdia services Francis Odee siku ya mashujaa. Wakizungumza mapema alhamisi wamekashifu kile wanahchokitaja kama ukandamizaji wa haki za wanabahri nchini na haki za kimsingi za kikatiba