21 Oct 2026 1:35 pm | Citizen TV 351 views Duration: 1:23 Viongozi wa kutetea haki za walemavu kutoka Kisii kwa kauli moja wamerai serikali kuweka mikakati ya kujua idadi kamili ya watu wanaoishi na ulemavu ili kujua idadi yao kamili kuboresha huduma wanazohitaji.