7 Aug 2026 1:31 pm | Citizen TV 4,271 views Duration: 48s Majonzi na tanzia zateka anga katika makafani ya Kibugi huko kutus na katika mochari ya hospitali ya kerugoya pale familia na marafiki walipofika kuchukua miili ya waliofariki kwenye ajali eneo la Murubara.